KILIMO BORA CHA MIGOMBA

20,000.00Tzs

Kilimo cha migomba kina umuhimu Sana katika kumsaidia mkulima kiafya na kiuchumi.,muongozo huu utakuelimisha namna bora na rahisi ya kulima migomba ili kupata tija.

Category:

Description

Kilimo cha migomba kina umuhimu Sana katika kumsaidia mkulima kiafya na kiuchumi.,muongozo huu utakuelimisha namna bora na rahisi ya kulima migomba ili kupata tija.

Zifuatazo ni faida za kilimo cha migomba:
– Ndizi ni matunda ambayo yanaweza kupikwa na kuliwa kama chakula cha wanga, Katika baadhi ya maeneo ndizi ndio chakula kikuu. Ndizi husaidia sana kunapokuwa na upungufu wa vyakula vya nafaka
– Kibiashara ndizi ni zao zuri sana kwani unaweza kuvuna muda wowote katika mwaka hivyo mkulima hupata fedha nyingi.
– Mavuno ya ndizi hayana msimu hivyo tunapata uhakika wa chakula muda wowote katika mwaka
– Ndizi ni chakula kizuri cha mifugo (majani na matunda)
– Ndizi mbivu huupa mwili vitamin c, pia zina asidi ambayo hupunguza magonjwa ya mfumo wa damu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KILIMO BORA CHA MIGOMBA”

Your email address will not be published.

Hi, How Can We Help You?